BREAKING NEWS: Ni kweli Kubenea ametangaza kuhama ”CHADEMA”?

Leave a Reply

46 Comments on "BREAKING NEWS: Ni kweli Kubenea ametangaza kuhama ”CHADEMA”?"

Notify of
avatar
Sort by:   newest | oldest | most voted
Salum Mkumbila2016
Guest

sologan

Emmanuel Shayo
Guest

Good! Msimamo huo ni wakiume wanaoshawishika kuhama chadema walaanike.

Komanya Mwandu
Guest

kubenea umeongea kwa uchungu sana tunakuombea kwa mungu utupiganie pamoja ccm wameleta tena biashara ya utumwa

Willy Tory
Guest

nachoshangaa mm hadi mda huu tetesi dhid ya John Mnyika zimekua kibao Ila yeye kujitokeza mubashara kashindwa mwambien Mnyika aache utoto atamke Jambo kama deal done aseme tu anafyata nn had time hii?

Jubimans Mbise
Guest

What about your colleague he is silent!!

Christopher Simon
Guest

ccm ikafie mbali siipendi

Faraji Abasi
Guest

Hayo magazeti yanapofungiwa kwa habar za uongo msiwe mnawatetea maana mmeona wenyew uongo wao.

Emanuel Mwankenja
Guest

Kwa tathimin ya haraka iliyofanywa na wana habari ni kwamba wale wanohama CHADEMA ni wale waliotoka ccm ko wanarudi kwa wajinga wenzao ccm ko awatutishi chadema…….walio na akili watabaki chadema kuipa nchi changamoto

Peter Ifunya
Guest

Kk piga kazi mh.kubenea achna na wauni wa mitandao

samson nyambi
Guest

Akili mingi saaana huyo jamaa

Dominick pauline
Guest

Naipenda sana Chadema 4 life tupambaneni jamani tuwaache wasiojitambua wabaki huko huko!

Ayyan Jambau
Guest

nimependa maneno yako kama ukwel na upganiaji haki aman kwako

OBADIAH KISONGA
Guest

Mbinu hizi zina nia ya kuivuruga chdm wasielewane na kuaminiana. Waandishi wa Habari kwa nini wanakubali kutumiwa katika siasa hizi chafu?

hosea rwechungura
Guest

Hayo magazet na baadh ya waandsh watajiju!Big up Kubenea, pga kaz

Yasin Muona
Guest

hauna lolote wewe mganga njaa tu aliyeuza nyumba aumaye mnae huko huko chadema we muongo mbona ulienda kutibiwa macho yako na ccm hiyohiyo

Yasin Muona
Guest

sumaye na luwasa ndio wameuza nyumba za serikari sasa mnae na muuza tembo sasa wewe kubenea unataka kutuambia nini kwanza ccm hata ukitaka kujiunga ccm hawakutaki mnafikj tu

Hassan Samata
Guest

una jipya

Gangan Gan
Guest
Rose Shayo, upo sawa kabisa; Matendo yao yamejenga CHUKI ILIYOJAA KIPIMO CHAKE kati ya CCM NA WATANZANIA WANYONGE(yaani wenye nchi, ambao kiukweli ni WENGI SANA kushinda IDADI YA WANACCM NA DOLA NZIMA KWA UJUMLA; SIRAHA ZA VITA HAZIWEZI KUSHINDANA KAMWE NA HAKI ITOKAYO KWA MUNGU MUUMBA. Kwa mfano; HAKI itokayo kwa MUNGU MUUMBAJI imemponya Mh. TUNDU LISSU zidi ya risasi zaidi ya 30 alizoshambuliwa kwa hizo SIRAHA ZA KIVITA na inakuja na KISASI KWA HAWA WATESI WETU kama ilivyokuwa kwa WAFURAHIA MAOVU / WAFURAHIAO MATESO YA WANYONGE kipindi cha UTAWALA WA FARAO PAMOJA NA WAFUASI WAKE wakamezwa na BAHARI kwa… Read more »
Mohammed Salim
Guest

na mnyika ajitokeze atueleze Kama wewe bingwa

Jubimans Mbise
Guest

Huyo dada ni mtoto wa Stephen Wasirra?

Jubimans Mbise
Guest

Huyo dada ni mtoto wa Stephen Wasirra?

dany okwis
Guest

Safi sana jembe

John Minja
Guest

Mimi nikuwa nafikiria hawa wapinzani wanatupeleka wapi tena? jamani

Eliackim Simon
Guest

Mtu anapo uliza swali apewe kisemeo tusikie swali …wajinga nyie

Goowire
Guest

God Bless you 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Said kubenea

Juliana Masunga
Guest

Mbwana Rajabu……. wewe unayejua siasa ulichoandika nikitu ngani chamaana……. mtatukuta mbele!! mkishamaliza porojo zenu.

MBWANA RAJAB
Guest

Haya bwana,yetu macho….2020

Ulimwengu Maulidi
Guest

Tuko pamoja mzee kubenea

baraka ntabindi
Guest

mtatilo mbona unajiuza jaman ccm hamna walipotangaza kununua watu inakuaje unasem haununuliki kama unajiuza c uwaambie ata act w

Rey Chapo
Guest

punguza unafki #uzalendo kwanza # umefanya nn kwenye jimbo lako halafu kubenea punguza wivi kwamakonda mwenzio anafanya kaz

Tz Tz
Guest

tunaongea kuongeza wanachama tunapuuza umaskni uliokithiri wa watanzania!! Kijani achen ukanjanja.

Joel Ogeta
Guest

Kama Mlimtukana Nyalandu Lakini Leo Ndo Shujaa Wenu…. Ya Nini Mwendelee Kusikilizwa????

Michael Leton
Guest

Ahsante sana Mr Kubenea

bennyto albano
Guest

Kweli weww huna akili sijui hata wehu ganiwalio kuchagua.😂😂😂😂

bennyto albano
Guest

Huna jipya kijana ..sasa ulichoongea hapo .choko wewe

Soda Millian
Guest

Kubenea nyinyi ndo mlikuwa mnasema Serikali yetu ni legelege, sasa hivi tumekaza mnaanza kusema serikali ya Kidikteta. Mnataka nini?. Endeleeni… Chapeni kazi kila siku mnaitisha Press Conf. MTAISOMA NAMBA. NA BADO.

zahabu joseph
Guest

Ukifuata MTU ukahamia ccm ujue wewe chiz,siasa za Leo watu wanafuata Sera na itikadi za chamack cyo watu.

John Minja
Guest

kamakweli wanahela waje watununue sisi wananchi

Paul Ntalima
Guest

umenena!

Warda Mbelekwa
Guest

Hatujakuita we baba

Marco Dominico
Guest

NYALANDU MBONA KAACHA?
AU NAE KANUNULIWA?

Emanuel Michael
Guest

izo story wanatunga wenyewe wanajijibu wenyewe,,,washaishiwa

Tracy Justice
Guest

Muheshimiwa Kubenea nakupenda bure, hawa ndio viongozi tunsowataka, wanaoweka wananchi kwanza na c pesa kama wafanyavyo wabunge wengine

Isacki Gacka
Guest

kuna watu nawashangaa comenti sijui hawaelewi sijui wanawashwa mtu anaeongea msomi zaidi yao lakini mambu mbu hayaelewi uuuuuu

atiko mbogolo
Guest

Yote hayo nayaweka pembeni, ila nakumbuka tukio moja lakumwagiwa TINDIKALI kwa kweli kaka Mungu akuongezee maisha na msimamo

Tumaini Mango
Guest

Ndio mjijue waandishi wengine wazushi

wpDiscuz